Naomba mwongozo wa namna ya kumfundisha mtu lugha ya Kiswahili

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,086
2,189
Habari za asubuhi wadau wa elimu,

Nina rafiki yangu yupo nje ya nchi na mara nyingi namuelekeza namna ya kuongea kiswahili, kKavutiwa na hii lugha na mara nyingi ananiuliza maswali.

Sasa sina muongozo wa kunisaidia kumuelekeza, anataka nimfunze kiswahili ila sina muongozo.

Naomba kwa yeyote mwenye muongo anisaidie na pia kama unaweza nisaidia vipengele muhimu vya kumfundisha lugha hii ya kiswahili.

Natanguliza shukrani wadau
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom