Naomba mwongozo wa biashara ya rasta, weavings na mawigi

Nipo dodoma mumy but i wish niifnye out na hapa.... Vp ilikulipa???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kishule shule ilinilipa sana, nilikuwa nachukua weaving kutoka Uganda na kuja kupitisha masaluni huku, na mtaji wangu nilianza na 300,000/= ya Uganda mpaka napata cha kufanya kingine mtaji ulikuwa umeongezeka Mara tano. Lakini pesa yake inahitaji nidhamu ya hali ya juu

Naomb unichek please 062557751 najua utanipa ABC pm yngu inashida nichek ktka cm please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom