Naomba mwongozo wa biashara ya rasta, weavings na mawigi


baby nillaah

baby nillaah

Member
Joined
Apr 7, 2017
Messages
53
Likes
21
Points
15
baby nillaah

baby nillaah

Member
Joined Apr 7, 2017
53 21 15
Habarini wapendwa

Naomba mwenye ufaham kuhusu hii biasahara ya uuzaji wa nywele anifahamishe je ni wapi nitapata kwa bei rahisi na mtaji natakiwa nianze na kiasi gani?

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
L

Latoya Lassoya

Member
Joined
Sep 8, 2018
Messages
62
Likes
50
Points
25
L

Latoya Lassoya

Member
Joined Sep 8, 2018
62 50 25
Nipo dodoma mumy but i wish niifnye out na hapa.... Vp ilikulipa???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kishule shule ilinilipa sana, nilikuwa nachukua weaving kutoka Uganda na kuja kupitisha masaluni huku, na mtaji wangu nilianza na 300,000/= ya Uganda mpaka napata cha kufanya kingine mtaji ulikuwa umeongezeka Mara tano. Lakini pesa yake inahitaji nidhamu ya hali ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,501
Members 481,371
Posts 29,735,787