Naomba mwongozo: Nataka kufungua duka la vipuri vya pikipiki

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
376
735
Naomba ushauri kwa wazoefu, mtaji wangu ni mil 6

1. Kwa kuwa mtaji ni mdogo, je nianze na vitu gan ambavyo vinatoka mara kwa mara

2. Nipo mkoani (moshi) ni wapi nitapata chimbo la hizo spea kwa bei nafuu

3. Ushauri tafadhali
 
Hongera kwa uthubutu, Cha kwanza unachotakiwa kufanya ni kuangalia ni aina gani za pkpk zilizo kwenye mazingira yako ambapo unatarajia kufungua duka ambazo zipo nyingi mfano kama boxer, TVs au Gn (yan haoujue, San lg, fekon n•k). Hivyo itakusaidia kununua vipuri kutokana na aina za pkpk kwasababu sio kila kipuri unaweka durkan.
Lakin pia khs mahala pa kuchukulia mzigo kwa uchunguz wangu usio rasm naweza kusema Dodoma na Dar kwa bei za jumla naona bei ni rafik.
Angalizo kwa Dar wajanja wengi kwahyo wakat mwingine unaweza kuuziwa vipuri kwa bei ya juu kiasi flan!...
Ni hayo tu! Kama unaswali uliza.
 
Back
Top Bottom