Naomba mwongozo..nahitaji cheti changu

Chemwali

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
397
195
Wadau ...kufuatia huu mhemko wa vyeti nami inanilazimu nikifatilie cheti changu cha kidato cha sita cha mwaka 2003.nilisoma huko Mkoani Mbeya tho mi ni mkazi wa Dar kule nilienda kielimu tu..baada ya kumaliza shule nilichukuaga tu Result slp ambapo niliendelea na elimu za juu ..na kuajiriwa kwa kutumia result slp kama cheti cha kidato cha sita..cha form four na vyuoni ninavyo.so kwa miaka hii ilivyopita natakiwa kuanzia wapi?
 
LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,269
2,000

nenda shule ulipomalizia kidato cha sita watakupatia mkuu..
 
Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
7,426
2,000
Wadau ...kufuatia huu mhemko wa vyeti nami inanilazimu nikifatilie cheti changu cha kidato cha sita cha mwaka 2003.nilisoma huko Mkoani Mbeya tho mi ni mkazi wa Dar kule nilienda kielimu tu..baada ya kumaliza shule nilichukuaga tu Result slp ambapo niliendelea na elimu za juu ..na kuajiriwa kwa kutumia result slp kama cheti cha kidato cha sita..cha form four na vyuoni ninavyo.so kwa miaka hii ilivyopita natakiwa kuanzia wapi?
Rudi kwenye shule uliosoma tu unakipata bila chenga.. Ila kama uliacha madeni ukakimbia ujue huna bahati , lazima watakulipisha ndo upewe cheti... Wala havina complications kabisa...
 
Chemwali

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
397
195
Nenda shuleni ulikosomea japokuwa kuna uwezekano kuwa kilisharudishwa pale Bamaga
thanks..sasa ntajuaje?na natakiwa kwenda na nini ili nijue vya kuandaa..sina deni nilisoma shule ya Serikali ada was sawa na bure...kama ni mkoa naweza muagiza mtu?
 
Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
7,426
2,000
thanks..sasa ntajuaje?na natakiwa kwenda na nini ili nijue vya kuandaa..sina deni nilisoma shule ya Serikali ada was sawa na bure...kama ni mkoa naweza muagiza mtu?
Hata umuagize mbunge hapewi. Cheti ni chako lazima ukachukueckwa mkono wako kwa maana ukikabidhiwa lazima udondoshe signature kuthibitisha kua umechukua... Wasiliana na shule yako ujue kama hakijarudi bamaga.
 
Mwiyuzi

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
846
500
thanks..sasa ntajuaje?na natakiwa kwenda na nini ili nijue vya kuandaa..sina deni nilisoma shule ya Serikali ada was sawa na bure...kama ni mkoa naweza muagiza mtu?
Nenda mwenyewe kakifuate! Na hili sekeseke za watumishi hewa na vyeti feki unataka kumtuma mtu tena akakuchukulie orijo? Kwanza huyo utakayemtuma hawezi kupewa
 
MWANDENDEULE

JF-Expert Member
May 24, 2015
3,089
2,000
thanks..sasa ntajuaje?na natakiwa kwenda na nini ili nijue vya kuandaa..sina deni nilisoma shule ya Serikali ada was sawa na bure...kama ni mkoa naweza muagiza mtu?
Kama hudaiwi chochote nenda tu kufuata cheti japo unaweza enda na kitambulisho chochote. Huwa hakuna complications zozote kama huna deni.
 
umande

JF-Expert Member
May 11, 2012
314
250
Wadau ...kufuatia huu mhemko wa vyeti nami inanilazimu nikifatilie cheti changu cha kidato cha sita cha mwaka 2003.nilisoma huko Mkoani Mbeya tho mi ni mkazi wa Dar kule nilienda kielimu tu..baada ya kumaliza shule nilichukuaga tu Result slp ambapo niliendelea na elimu za juu ..na kuajiriwa kwa kutumia result slp kama cheti cha kidato cha sita..cha form four na vyuoni ninavyo.so kwa miaka hii ilivyopita natakiwa kuanzia wapi?
Anzia primary
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom