Troojan
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 967
- 666
Wanabodi: Binti yangu amemaliza form 6, sasa linakuja suala la kwenda JKT aisee binafsi yangu siitaji bint yangu aende uko kabisaa maana roho yangu inakataa sasa je asipokwenda kuna madhara gani unayoweza yapata uko baadae??na omba mje kwa kunishauri..ila sitaki aende uko.
Ninayo yaona kwa wale vijana uko jkt yanaogopesha sana kama mzazi..isitoshe kapangiwa kigoma uko...yaan naona kama namtupa mtoto
Ninayo yaona kwa wale vijana uko jkt yanaogopesha sana kama mzazi..isitoshe kapangiwa kigoma uko...yaan naona kama namtupa mtoto