Naomba mwenye wimbo Jay Dee-Siku Hazigandi(Guitar Version)Remix anisaidie kuupata

Nenda kwa wale wanaokngiza nyimbo kwenye simu nna uhakka huwez kuzungukia watano hujaupata
 
Ningekuwa nao ningekupa mkuu ila mambo yamebadirika mkuu,hivi sasa SIKU ZINAGANDA kama barafu.Hali mbaya sana mitaani
 
Hata mimi naipenda sana hiyo slow version..ila niliisearch bila mafanikio... Labda hapa utapatikana...
 
huu hapa hatimaye umekubali kuupload
 

Attachments

  • Jay_dee_Siku_Hazigandi_mix.mp3
    1.6 MB · Views: 95
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom