Naomba mwenye uelewa kuhusu nyumba za kupanga kwa Dar es Salaam.

Apparent

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
220
110
Habari za muda huu wanajamii.
Naomba kufahamishwa ni wapi kwa Dar kuna vyumba vya kupanga ambavyo kodi ni 20elfu kwa mwezi,malipo ya miezi mitatu tu na unapanda gari moja hadi Ubungo ila isiwe Gongolamboto,Temeke,Tandale na viunga vyake vinavyofanana au Mbagala.

Nategemea kupewa majibu mazuri ili nianze safari ya kwenda kutafuta chumba eneo hilo muda huu.
 
Nyumba za kupanga nzuri kwa Dar zipo masaki ila huku kwingine kote ni ovyoo ovyoo tu! Mvua ikinyesha hutamani kutoka ndani
 
Habari za muda huu wanajamii.
Naomba kufahamishwa ni wapi kwa Dar kuna vyumba vya kupanga ambavyo kodi ni 20elfu kwa mwezi,malipo ya miezi mitatu tu na unapanda gari moja hadi Ubungo ila isiwe Gongolamboto,Temeke,Tandale na viunga vyake vinavyofanana au Mbagala.

Nategemea kupewa majibu mazuri ili nianze safari ya kwenda kutafuta chumba eneo hilo muda huu.
Mkuu kwa ghalama uliyoitaja sizani kama utapata labda maeneo usiyoyataka ila maeneo mengi ni kuanzi 40 mfano kawe, kimara,
 
Back
Top Bottom