Naomba mwenye taarifa juu ya nafasi za kazi utumishi, Maafisa Tarafa na Biashara

UTAMBI

Member
Jul 28, 2015
58
29
Naomba kuuliza kama kuna mtu ana taarifa ya nafasi za kazi za Maafisa Tarafa na Maafisa Biashara zilizotangazwa na SECRETARIAT YA AJIRA kama wameshaita watu kwenye usaili.

Mwenye taarifa tadhali anisaidie.
 
Vuta subira wakimaliza usaili huu waliotangaza utakao fuata ni huo..,
 
Back
Top Bottom