Naomba mwenye softcopy ya muswaada wa serikali uliwasilishwa jana anipatie. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mwenye softcopy ya muswaada wa serikali uliwasilishwa jana anipatie.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Losambo, Nov 15, 2011.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakuu jana muswada wa mapitio ya katiba umewasilishwa rasmi hali iliyopelekea baadhi ya wabunge wa upinzani kutoka nje kama ishara ya kutokubaliana na muswaada huo. Naomba mwenye softcopy au mwenye kujua link ninayoweza kuupata anipatie niupitie taratibu.
  Aidha kwa wale watakakuwa wanahitaji maoni ya kambi ya upinzani yaliyosomwa na Tundu Lissu nimeyaweka hapa kwa faida ya wanayoyataka.
  View attachment MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI.pdf
  Nawasilisha.
   
Loading...