Naomba mwenye majina ya viongozi wa tume ya uchaguzi Tanzania atusaidie kuna tatizo

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,979
Kabla ya CV niombe kufahamu tume ya uchaguzi ina ofisi yake tofauti na jengo walilojengewa juzi kabla ya uchaguzi 2020?

Lakini pia ningepata CV yao tuone wajumbe wake Wana uzoefu gani tofauti na kufanya kazi ofisi ya umma ikiwemo ofisi ya president?

Nauliza cv kwa sababu wanayofanya yanauzunisha, yanasikitisha na hata CCM kindakindaki wanaona hivyo, labda tatizo ni elimu, expossure au ukiritimba? Nini shida ndani ya Hawa watu?
 
Mbona hukuuliza kwanza, huwa wanawekwa na nani katika nafasi hiyo ya kazi? Maana yake ni kwamba ukishapata jibu la hilo swali, hata CV zao itakuwa rahisi kuzikisia kama hutaweza kuzipata kwa hapa JF.
 
Kabla ya CV niombe kufahamu tume ya uchaguzi ina ofisi yake tofauti na jengo walilojengewa juzi kabla ya uchaguzi 2020?

Lakini pia ningepata CV yao tuone wajumbe wake Wana uzoefu gani tofauti na kufanya kazi ofisi ya umma ikiwemo ofisi ya president?

Nauliza cv kwa sababu wanayofanya yanauzunisha, yanasikitisha na hata CCM kindakindaki wanaona hivyo, labda tatizo ni elimu, expossure au ukiritimba? Nini shida ndani ya Hawa watu?
Maamuzi ya matokeo ya uchaguzi hufanywa nje ya ofisi ya tume.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom