Naomba mwenye kumfahamu daktari mzuri wa mifupa

Jenchede

JF-Expert Member
Jul 22, 2014
238
495
Habari za leo wanajukwaa.

Poleni sana na majukumu.

Naomba mwenye kumfahamu Daktari mzuri wa mifupa.

Naomba atanipm.

Shukrani
 
Wa mifupa? au unamaanisha Daktari Wa Viungo?

Pale Bochi ya Kimara Temboni yupo Specialist Wa Viungo yuko vizuri sana, naambiwa huwa anatokea MNH pale anakuwepo mida ya jioni..

Otherwise Kwa uhakika kabisa nenda tu Muhimbili, pale ni mwisho Wa matatizo.
 
Back
Top Bottom