Naomba mwenye kujua garage nzuri kwa vijana zenye kazi nyingi mjini Dar

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
748
365
Nina kijana wangu ndoto yake kua fundi wa magari naomba mwenye kujua garage nzuri kwa vijana zenye kazi nyingi mjini Dar.

0764 708 888whatsupp tu.

Kiasi cha fedha kwa mwenye connection ya moja kwa moja.
 
Nenda Msimbazi Centre pale uwanja wa mpira karibu na Msimbazi Primary kuna mafundi na vijana wengi wanafundishwa.
 
Back
Top Bottom