Naomba mwenye kujua aina ya kengele imara na nzuri za majumbani na ofisini

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Wadau mwenye kujua aina ya kengere imara ya kufunga majumban au ofisini kwa ajili ya hodi kwa wageni naomba anijuze tafadhari!

Nimefunga nyingi za kichina naona hazidumu kabisa!
 
The best hiyo warranty 1 year bei laki 6 ufundi laki 2
20191126_105437.jpeg
 
Bajeti yako ikoje hiyo ni ni kengrle na video kabisa ndani kuna screen ya inch 7.
 
Hicho kidubwana hapi inje (outdour) mtu akiondoka nacho ni hasara kubwa almost 1m, naomba hizi zakawaida za mlio bila video! Bajeti isizidi laki mbili
 
Bajeti yako ikoje hiyo ni ni kengrle na video kabisa ndani kuna screen ya inch 7.
Nataka zile za kawaida za kubonyeza switch inje ya geti halafu gengele iliye ndani! Aina gan imara?
 
Bajeti yako ikoje hiyo ni ni kengrle na video kabisa ndani kuna screen ya inch 7.
 
Wadau mwenye kujua aina ya kengere imara ya kufunga majumban au ofisini kwa ajili ya hodi kwa wageni naomba anijuze tafadhari!

Nimefunga nyingi za kichina naona hazidumu kabisa!
 
Mkuu nimeuliza kengele ndogo za matumizi ya domestic ....
 
Kama upo Dar es salaam tembelea duka la Tronic lipo morogoro road kisutu karibu na branch ya NMB, wana aina nyingi sana na bei zina range elf 25 mpaka laki1
 
Mkuu unaweza kuwa na namba zao, niko mkoani na nahitaji kuwasiliana nao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom