Za bei ndogo kidogo hamna mkuu? Naona hii bei imechangamkaThe best hiyo warranty 1 year bei laki 6 ufundi laki 2 View attachment 1617077
Hicho kidubwana hapi inje (outdour) mtu akiondoka nacho ni hasara kubwa almost 1m, naomba hizi zakawaida za mlio bila video! Bajeti isizidi laki mbiliBajeti yako ikoje hiyo ni ni kengrle na video kabisa ndani kuna screen ya inch 7.
Nataka zile za kawaida za kubonyeza switch inje ya geti halafu gengele iliye ndani! Aina gan imara?Bajeti yako ikoje hiyo ni ni kengrle na video kabisa ndani kuna screen ya inch 7.
Bajeti yako ikoje hiyo ni ni kengrle na video kabisa ndani kuna screen ya inch 7.
Wadau mwenye kujua aina ya kengere imara ya kufunga majumban au ofisini kwa ajili ya hodi kwa wageni naomba anijuze tafadhari!
Nimefunga nyingi za kichina naona hazidumu kabisa!
Mkuu nimeuliza kengele ndogo za matumizi ya domestic ....Wapi nitapata kengele (Bell)
Inahitajika( bell) kengele kubwa hasa hasa kama zile zinazotumiwa na makanisa hasa makongwe. Anayejua upatikanaje wake hapa tanzania anijuze maana ina matumizi mengi. Hata ikiwa ni nje ya nchi tafadhali nijuze ni kengele zinazotengenezwa nchi gani ni imara, madhubuti na zina mlio mkali. Hapo...www.jamiiforums.com
Mkuu unaweza kuwa na namba zao, niko mkoani na nahitaji kuwasiliana nao.Kama upo Dar es salaam tembelea duka la Tronic lipo morogoro road kisutu karibu na branch ya NMB, wana aina nyingi sana na bei zina range elf 25 mpaka laki1
Mkuu unaweza kuwa na namba zao, niko mkoani na nahitaji kuwasiliana nao.
Ngoja nitapitia nikachekiKama upo Dar es salaam tembelea duka la Tronic lipo morogoro road kisutu karibu na branch ya NMB, wana aina nyingi sana na bei zina range elf 25 mpaka laki1
MkuuMkuu nimeuliza kengele ndogo za matumizi ya domestic ....
Hizo kubwa za kanisani au?Mkuu
Funga Hiyo Niliyokutumia Link Hutajuta Maana Ni Chuma Mtupu