figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 19,597
- 24,126
hivi kama una pikipiki moja inayofanya kazi ya bodaboda,unaweza kuitumia kama dhamana ya kuchukulia mkopo bank wa kununulia pikipiki nyingine?
je,kama inawezekana utaratibu unakuaje.nawasilisha.
je,kama inawezekana utaratibu unakuaje.nawasilisha.