Naomba mwenye kipande hiki cha video tafadhali

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,851
15,265
Naombeni clip ya hii video
Screenshot_20201124-120243.png
Screenshot_20201124-120239.png
 
Dowload kitu inaitwa Shazam afu sikilizisha hiyo clip itakupeleka moja kwa moja you tube
MI staki kwenye you tube bali nataka video yake niwe nayo ili time yoyote niwe naicheki bila kuingia YouTube
 
ingia playstore download vidmate alfu utakuwa unadownload kupitia humo kitu chochote kile
 
Download app ya vidmate ipo google ila playstore haipo ukidownload hiyo unaweza pakua clip zote za youtube....
 
Back
Top Bottom