Nashindwa jinsi ya kupata clip yake, Nielekeze jinsi ya kufanya ili nipate clip yenyeweNenda hata www.tubidy.mobi ukapakue
Dowload kitu inaitwa Shazam afu sikilizisha hiyo clip itakupeleka moja kwa moja you tubeNashindwa jinsi ya kupata clip yake, Nielekeze jinsi ya kufanya ili nipate clip yenyewe
MI staki kwenye you tube bali nataka video yake niwe nayo ili time yoyote niwe naicheki bila kuingia YouTube
Unashingapi..?😅Naombeni clip ya hii videoView attachment 1633632View attachment 1633633
Hi
Hiyo nafanyeje mkuu? 🤔 Embu Nielekeze tu ili nikipenda video flani hata YouTube huko napakuwa nakuwa nayo tu kwa simu
Naombeni clip ya hii videoView attachment 1633632View attachment 1633633
Aah! Ng'ombe hazeeki maini buana!Tatizo uzee huu mkuu, si unaona vijana wanavyozidi kunielekeza hapo juu,
Uzee mzuri lakini una tabu zake
Tatizo uzee huu mkuu, si unaona vijana wanavyozidi kunielekeza hapo juu,
Uzee mzuri lakini una tabu zake