Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

IMG_1166.jpg
 
Haya ndio mambo yaliyomsaidia Ndugu wa karibu kwa 100%
Usitegemee dawa sio suluisho la kudumu.!

Zingatia Mazoezi
Fanya mazoezi ya squats sana na push up
Nenda gym /kama ghali tafuta hata local gym..
Push weight haswa fanya mazoezi kama vile unataka kuwa bodybuilder (YouTube totorial) hakikisha unafanya kila mazoezi kwa usahihi .

Na ufanye kweli maana mwanzo mgumu lakin baada ya miezi kadhaa mwili utazoea.

Dawa ya asili
Tengeneza mchangayiko huu...
*Habat souda ya unga (unapatikana kariakoo maduka ya kisuna)
Utachanganya na
*asali mbichi
*vitunguu saumu (vile vya kienyeji) - unavisaga
*Tangawizi mbichi...(unasaga/twanga)
Tengeneza mchanganyiko wa kutosha wa kula hata siku 3.

Utaacha kwa masaa hata 6+ baada yakutengeneza

Unakula vijiko vinne kila siku asubuhi kabla ya kula chochote.

Soma online faida za tangawizi/asalina swaumu utajua kwanini...


Pia jitahdii ubadilishe mtazamo wako. Na kuamini tatizo uta lisolve

Ukiafanya hivyo ilo tatizo litaisha ndani ya miezi michache sana
 
Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio....
While considering taking Viagra AKA Soldenafil Citrate bear in mind the following the following CONTRAINDICATIONS

Who should not take VIAGRA?

  • multiple myeloma.
  • leukemia.
  • sickle cell anemia.
  • pigmentary retinopathy.
  • hearing loss.
  • significant uncontrolled high blood pressure.
  • a heart attack.
  • a sudden worsening of heart related chest pain called angina.
Contraindications:-
Do not take sildenafil if you:
have a serious heart or liver problem. have recently had a stroke or a heart attack. have low blood pressure. have a rare inherited eye disease, such as retinitis pigmentosa.
============================================================================================================
Who should not take VIAGRA?
  • multiple myeloma.
  • leukemia.
  • sickle cell anemia.
  • pigmentary retinopathy.
  • hearing loss.
  • significant uncontrolled high blood pressure.
  • a heart attack.
  • a sudden worsening of heart related chest pain called angina.
 
  • Linasimama ila linakua legelege hata uingiaji wake ni watubu kidogo
  • Na ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka, naweza kurudia lakini baada ya muda mrefu kidogo ila nayo ni pia akiingia tu ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka.
kataa utawala wa wazungu jiamini kuendesha mitambo yako mwenyewe
 
Muhimu kufahamu hali yako ya Presha(BP) kabla ya kutumia dawa jamii ya Viagra kwani zina tabia ya kushusha kwa kiwango kinachowaza kua hatarishi kwa Afya yako!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom