Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

Yes mkuu, kama umepitia pitia Biology kuna theory inaitwa use and disuse inaelezea. Na kuna mjuba alileta nyuzi kuwa eti aivokua mtoto alikua anapenda kuivuta vuta so saivi stori za vibamia kwake anaona ni stori za kusadikika.
we jamaa bana , unaaikubali hiyo theory ? Kwamba kiungo upokitumia kina lege lege au kinaweza kupotea kabisa ,
Mifano yao mingine et enzi hizo binadam alikua na mkia , sema ulikua hauna kazi na hautumiki mwisho wa siku ukapotea , yule dalwins alituingiza shaka
 
mkuu hiyo miko ya kula nishajitahidi sana bila ya matokeo. Hali yangu ni mbaya sana akili inakosa la kuwaza kabisa
Sasa mkuuu kinachokufanya hali yako isitengemae ni hicho kichwa chako cha kichwani ndio kinafanya kichwa chako cha miguuni kikose heshima,punguza mawazo kwenye kichwa chako cha kichwani alafu utaniambia,mawazo ni sababu kubwa inayofanya hicho kifaa kisifanye kazi ipasavyo

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
we jamaa bana , unaaikubali hiyo theory ? Kwamba kiungo upokitumia kina lege lege au kinaweza kupotea kabisa ,
Mifano yao mingine et enzi hizo binadam alikua na mkia , sema ulikua hauna kazi na hautumiki mwisho wa siku ukapotea , yule dalwins alituingiza shaka
Jamaa sometime walikua wanaotea otea tu, ndio yale mambo yakusema Jua lilikua linaizunguka Dunia. Wametulemaza sana na riwaya zao za kisayansi.
 
Mkuu usijishuku, sometimes ni mzunguko tu wa mwili unavyojisoma.Ukipanic ndio unakuwa na hofu ambayo inakuvuruga saikolojia.
Usipanic kila mwanaume alishapitia situation za kutia shaka au atapitia katika life walau mara moja au zaidi.
Hili tatizo kwangu halipungui mwaka wa 10 sasa ndugu
 
mkuu naomba nikushauri onana urologist.. nenda muhimbili ama hospital kubwa wakufanyie vipimo kama homoni zote zinafanyakazi kwa ufanisi then tiba zipo. ila ukitafuta ushauri humu watakupa taarifa ambazo sio sahihi nyingi ni fake.
 
  • Linasimama ila linakua legelege hata uingiaji wake ni watubu kidogo
  • Na ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka, naweza kurudia lakini baada ya muda mrefu kidogo ila nayo ni pia akiingia tu ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka.
Duh! Hili tatzo kweli
 
Unaposema una upungufu wa nguvu za kiume una maanisha nini hasa?

1. Dudu la yuyu halisimami?
2. Linasimama ila linakuwa legelege linashindwa kuzama kwenye pango la amboni?
3. Linasimama ila ndani ya sekunde ukiingia pangoni wazungu wanatoka na unashindwa kurudia?
4.Linasimama ila likiingia pangoni au katikati ya mechi linalala doro?
5...................................................................................................?
6...................................................................................................?
lol
 
Hivi Walio anzisha sigara ni akina nani..
Acha kuwasikiliza wahuni na matapeli wa mitaani wanaojifanya wanajua kila kitu.
Kama Wazungu waanzilishi wa elimu wamepitisha jua kuwa hiyo dawa haina madhara.
Matumizi kupita kiasi ndio huleta madhara. Hata maji ukinywa hovyo yanakuua silence.
Viagra ni salama kuliko uchafu wa Kongo
 
Pole sana na ushauri wangu kabla hujaanza kutumia viagra nenda kamuone Dr akuangalie kama afya yako iko vizuri hivyo akupe ruhusa ya kutumia. Ni kweli Viagra imeua watu wengi sana ambao walitumia bila afya zao kufanyiwa tathmini na Dr
Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio.

NImejaribu kutumia vumbi la congo pia limenitupa mkono....
 
Back
Top Bottom