Naomba muongozo wa kusoma Bachelor ya uuguzi vyuo vya nje

Vee lovie

Member
Jul 31, 2021
11
45
Nimemaliza diploma ya uuguzi, nilitaka kuunganisha degree lakini matokeo mbaka sasa bado hayajatoka ya diploma na applications round ya 3 mwisho kesho. Msaada anaefaham vyuo Vizuri vya afya nchi za jiran, utaratibu ukoje, qualifications zikoje, na applications zinaanza/mwisho lini?. Napokea pia mawazo yenu kuhusiana na hili. Asante
 
Erick Martie

Senior Member
Jun 6, 2015
184
250
Cha kufanya, ukipata matokeo yako ya mwisho, na ukishafahamu chuo unachopaswa kwenda kusoma, then unapaswa kwenda TCU kwa ajili ya Kupata No objection certificate, kuangalia kama chuo kimesajiliwa na unavigezo vya kusomea kozi hiyo husika, from there process zingine zinaendelea!
Kwa maelezo zaid nichek inbox
 
Shukrani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom