Naomba Muongozo wa kujamiana na mtu mwenye UKIMWI

Mkuu jihakikishie mwenyewe kama hato majibu ya Viral load ni TND au LTDL kweli na yawe ya kipindi cha hivi karibuni.
Nikutakie uchakataji mwema ila usisahau kinga
 
Una uhakika na unachokisema,mi nimesema kutokana na tafiti za kitaalamu,na kama umeshafatilia siku hz watu hawapat sana ngoma ingawaje kwenye mizunguko hayo hukutana na wenye HIV
Sawa, sasa ipi afadhali kati ya kusex na muathirika ukiwa na imani kuwa hatokuambukiza au kutokufanya sex kabisa na aliyeathirika.?
 
Tumia kinga bwana mbona hata kwa wazima tunatumia kinga, mchakato mwema.
 
Hata ungekuwa wewe usingeruka kwa hii manzi aisee

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Ujinga mwingine hauwezi kutoka hata uwangiwe. Kwa kauli yako hii unamaanisha mkoa mzima mliopo wewe pekee ndiye mwanaume. Maana kama huyu asingeweza kuruka na bado huyo binti ni 0km maana yake kuna tatizo kwa hao wanaume wenzio.
 
Nimeshawishika na huyu binti ila ana ukimwi wa kurithi na anasema viral load iko ziro,
Kwa hiyo naona tu nikampasue saa hii
Naombeni muongozo wenu ili nisidhurike tafadhali

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Kama anafuata maelekezo kuhusu matumizi ya dawa basi uwezekano wa kuambukiza ni mdogo sana. Piga kavu tu furahia maisha sema kusiwe na mochubuko ya kuketa damu tu.
 
Tumia condom hata Rough Rider na sio zile 3Bomba au takataka gani. Mbona watu wenye ngoma wanasex kwa kinga na hawaambukizi. Tumia kinga kistaarabu
 
Nimeshawishika na huyu binti ila ana ukimwi wa kurithi na anasema viral load iko ziro,
Kwa hiyo naona tu nikampasue saa hii
Naombeni muongozo wenu ili nisidhurike tafadhali

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Mungu akupe sawasawa na hitaji lako, na wote tuseme Amen 🙏🏻.
 
Tumia kondom,lakin hata usipotumia napo ni fresh lakin unapaswa kuzingatia yafuatayo:-
1.kula kiboss,usigonge kama upo mashndanoni
2.hakikisha una mate ya kutosha,uyatumie kama kilainishi pale unapohisi mbunye imekauka.
3.kabla ya mgegedo,hakikisha umemuandaa vya kutosha(mbunye ilowe)

:kila la khera,mgegedo mwema.
:kitaalamu kama mwenye HIV anatumia dawa zake vizuri,sio rahisi kumwambukiza mwingine HIV
Hapo mwisho ndo umeharibu. Hiyo ni kwa TB tu. HIV inapata kama kawaida?
 
Wewe sasa ndo mtaalam, umenena vilivyo acha nikamkojoze sasa, kila mtu anamuogopa huyu binti sasa atafurahishwa na nani wakati na yeye ananyege kama wazima

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Nyege zako zimehamia kichwani ndio maana huwezi kuchukua tahadhari tena wala huoni hatari yoyote. Ukishakojoa ndio akili itarudi na utatamani ukapime leo hii hii. Shauri yako????
 
Back
Top Bottom