Naomba muongozo wa Interview za shirika la wakimbizi

Mmiskiry

Member
Mar 1, 2018
55
21
Wadau kuna interview ya shirika moja la wakimbizi nimeapata nafasi ya kufanya nao interview.

Ninachoomba hapa ni kufahamu kuhusu shirika hilo kama utakuwa na uzoefu nalo ama pia namna ya uendeshaji wao wa interview.
 
Shirika lenyewe hujalitaja ila unaomba kufahamu kuhusu shirika hilo, wewe iko na utopolo kichwani eti?
 
Wadau kuna interview ya shirika moja la wakimbizi nimeapata nafasi ya kufanya nao interview.

Ninachoomba hapa ni kufahamu kuhusu shirika hilo kama utakuwa na uzoefu nalo ama pia namna ya uendeshaji wao wa interview.
Taja jina la shirika, linajihusisha na nini katika kuwahudumia hao wakimbizi, hilo shirika lipo wapi, na umeitwa interview kt nafasi gani. Watu wanaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom