Naomba muongozo wa CHADEMA

Hivi hiki chama kimekufa? Mbona hamnijibu? Mwanakijiji naomba gmail ya Zitto!
 
Hivi hiki chama kimekufa? Mbona hamnijibu? Mwanakijiji naomba gmail ya Zitto!

chama kilikufa siku nyingi, mmewapiga mawe hapa hadi wamekimbia. wao wanadhani ni wao peke yao ndio wana mabomu. Nakutafutia email ya zitto kwenye website ya parliament kama ameweka nikuwekee hapa.
 
chama kilikufa siku nyingi, mmewapiga mawe hapa hadi wamekimbia. wao wanadhani ni wao peke yao ndio wana mabomu. Nakutafutia email ya zitto kwenye website ya parliament kama ameweka nikuwekee hapa.

Nitashukuru sana kwa msahada wako ila ile ya gmail ndiyo anayotumia kuwasiliana na wanachama hapa JF.
 
tunaweza kuwafuata hata huko huko kwenye gmail, tutafute link hiyo tuwafuate huko huko. teh teh teh teh masikini chadema.

Ukipata gmail ya Mh. Zitto umemaliza mchezo.
 
ulijuaje kuwa anatumia gmail kuwasiliana na wana JF?

Mzee Mwanakijiji
JF Senior & Premium Member Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 9,633
Rep Power: 44

Thanks: 3,999
Thanked 4,492 Times in 1,940 Posts
Credits: 337,500

Re: CHADEMA wazindua mchakato wa sera ya majimbo.

--------------------------------------------------------------------------------

Zitto angalia gmail yako...
__________________
Hoja Hujibiwa kwa Hoja!

Mazingaombwe ni sanaa na sayansi ya kuaminisha visivyoaminika e.g kauli za wanasiasa
TODAY NEWS TODAY!
 
itabidi sasa mwanakijiji aombwe hii email ya gmail ili wanachadema wafuatwe huko waliko
 
by the way Masaka, hadi hivi sasa kweli majibu walitoa kuhusu chama chao ? nafikiri Mnyika aje atuelezee kiundani maana yeye hana chochote cha kufanya yupo yupo anasubiri JK akosee aje hapa ! opportunist !wowwwwwww
 
Back
Top Bottom