niliwahi kuulizia kwa nn watu wanashangaa mtu akinunua KY humu ndani,..ile mada ikapotea sasa cjui nimekiuka maadili...c unajua um just a senior member...naomba muongozo wenu!!
KY maana yake ni nini?
Ng'ada, ID yako kwa huku nilipo ina maana ya kitu ya ukweli kabisa au mtu akifupisha anasema kitu ng'ada. Swali kwako KY ni kitu ng'ada?niliwahi kuulizia kwa nn watu wanashangaa mtu akinunua KY humu ndani,..ile mada ikapotea sasa cjui nimekiuka maadili...c unajua um just a senior member...naomba muongozo wenu!!
Labda ulimaanisha hv k¤ma yako!! Samahan tafsida sizifahamu vzur!