naomba munipokee wana JF

kigimbii

Member
Jun 1, 2013
5
0
habari wana JF nawaombeni munikaribishe kwa moyo wa upendo kabisa.nimeamua kujiunga humu baada yakuumwa mudaa mrefu na kktka kipindi changu kikugumu Jamii Forum ilikua ni sehemu yangu kujifariji na topic mbali mbali pamoja na comments zenu.Ahsante
 
Ahsanteni wenyeji wa Jf.nashukuru mmchukua mudaa wenu kunikaribisha.
 
Back
Top Bottom