Naomba mtu atakayekuwa na picha/ramani ya vibanda vilivyojengwa kwa miti ila vyenye ghorofa

Centia2

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
1,018
1,621
Naomba mtu atakayekuwa na picha/ramani ya vibanda vilivyojengwa kwa miti ila vyenye ghorofa kwa ajiri ya Pub atuwekee jukwaani.
Itapendeza kama anafaham na mchanganuo wa ujenzi wake.Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vip wadau kuna anayefaham hili. naomba kuongezea swali
Je,ujenz wa vijighorofa hiv pia unahitaj kibali kama yalivyo majengo mengine??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hako hapo
IMG-20200216-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
duu mzeebaba umetisha.ila sikumanisha hivoo, nililenga vibanda lakin vilivokaa kisasa, ambavyo watu hutumia kupumzikia.kama unavyojua nyasi hairuhusu joto na vinakuwa na uwaz sehem kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom