Naomba msamaha kwa vijana wenzangu

Ndiyo ujue kuwa ulichagua mbigiri na utaendelea kuvuna mbingiri mpaka mwaka 2020.
 
Ndiyo ujue kuwa ulichagua mbigiri na utaendelea kuvuna mbingiri mpaka mwaka 2020.
 
Nakumbuka tarehe 25 October 2015 asubuhi ya jumapili ile niliamka mapema ili niwahi kuipigia kura rang ya mboga za majani (kijani) nikiwa na matumaini makubwa bwana yule akishinda vijana mliosoma mtapata ajira, pia watumishi wa umma watapata maslahi yao pamoja na nyongeza ya mishahara.

Nilitegemea huku kijijini na sisi tutanunua unga na sukar kwa bei rahisi labda nilijua kwenye zahat yetu hapa ya jiran tutapata madawa ya kutosha.

Kumbe imekuwa tofauti, walipoanza kutonionyesha bunge live wakati nilitaman kumuona mbunge wangu nilijua kwel tunabana matumizi lakini zaid ya mwaka sasa naona mambo hayaendi maisha yamezid kuwa magumu huku kwetu kila cku matamko na visasi mabunduki yamekuwa kama manati ya huku kwetu.

Nasikia hata bwana yule wa bao la mkono na yeye ameoneshwa manat ya kizungu. Sina cha kujivunia kiukweli mpaka sasa labda nisubir muda uongee ila kiukwel mnisamehe vijana wenzangu, wafanya kazi na wanavyuo sikufikir vyema kipindi kile.
a4fbf9c69274b4b33fc97a589a46e17b.jpg
 
Itakuwa wameanzisha vikundi vyao vya sanaa wanapiga bingo coz haiji akilini kama nao wanasubiri 720,000/= kwa mwezi ambazo wanaweza kumeki kwa shoo za dakika tatu tu.
Ziko wapi mkuu? Walimu wa sanaa unajua walipo saa hii baada ya kumaliza chuo?[/QUOTE
 
We unamtegemea binaadam mwenzio? Mbn utachelewa?Fanya yk mkuu achana na siasa
 
Chemsha bongo utengeneze maisha yako acha kubweteka uza hata karanga, maji, juice, mihongo, matunda, maziwa, maandazi. Jitolee ktk makampuni n. k ajira ziko nyingi tatizo tumezoea Kutumwa na watu wengine Utumwa Umetukaa Akilini haujaisha na ndio Ukombozi Sizonje anao Ufanya. Tujitambue na Kuthubutu, tuache ubishoo na aibu za Kimasikini, Ukitoka kazini kauze hats Kahawa ongeza kipato

Hivi Shilole pale mgahawani atalalamika maisha magumu? Kajiongeza anaona muziki pekee haumfikishi anapotaka mabwana wenyewe chenga tupu.
We Kazi kushinda mitandaoni ukimaliza pesa za kununua mb eti sitakai kupitwa endelea kulia huyo unayemlilia akitumbua maisha unaona hata ngozi yake siku hizi ilivyonawili .

Mmmm sidanganyiki nafanya yangu na familia yangu hao wote nawaona wapiga dili tu, si Nape, Makonda au Gwajima , Lema, Zito au Ridhiwani hao ni watoto wa Mujini wanajua kucheza na akili za Wajinga kupata ulaji.
Bora mwambie
 
Naona sana huu msemo wa marinda ila siuelewi!
Zile sketi za wanafunzi wa kike zina mikunjo fulani hivi ipo wima ndio inaitwa marinda. Au kwenye suruali kuna tumikunjo fulani kama tuwili hivi wima pale chini ya belt jwa upande wa mbele.

Nahisi suruali ya Bashite haina marinda kama sijakose.
 
Kha! hiki kiingereza tuwaachie wenyewe. Nafikiri ulimaanisha Paraphrase badala ya paragraph
Hapana sikumaanisha ulivyomaanisha,na wala hakuna shida hapo,kazi iwe na paragraph kwani nin umeshindwa kuelewa...neno paragraph linaweza simama kama nomino lkn pia kama verb...kiingereza hakina shida shida ipo kwako...to paraphrase ni tofauti kabisa na paragraph.....
 
Kha! hiki kiingereza tuwaachie wenyewe. Nafikiri ulimaanisha Paraphrase badala ya paragraph
Namkumbu marehemu mzee jongo badala ya kusema kabichi anasema wabichi akirekebishwa anakwambia ndio hiyo hiyo. Sasa nadhani na jamaa atakwambia ndio hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom