Naomba msada kwa yeyote mwenye ufahamu na hii kitu

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,467
1,327
Nina application nimeitengeneza na ipo live sasa ,hii application inahusika na kuonesha live streaming video ,mfano mpira unaochezwa Ulaya unaweza kuuona live kwenye simu yako kupitia application hii ,shida inakuja namna ya kupata Link za Live streaming ,nimejaribu kuulizia kwa wadau nimeambiwa kuna site naweza zipata for free au kwa kulipia ,kwa yeyote anayeweza nisaidia naomba msada wadau.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom