Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
wadau naomba yeyeto mwenye window 7 anisaidie. nataka kuondoa xp na kurun window 7 lakini hata kama una window 8 usisite kunisaidia
Mimi ninazo zote hizo.
alafu naitafuta sana 3.1 kaka sijui kama ntaipata!
Kaka upo serious? Nnayo na dos 6.2