Naomba msaada

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Umemnunulia mkeo gari, unashngaa jioni ya jumapili anarudi kwa daladala. Gari wapi, anakwambia kapanda mbengu kanisani ili apate baraka. Japo ni swala la kidini utafanyaje funguo pastor kesha kabidhiwa;
 
huu sio utani bandugu,nami nshayashuhudia aisee,mambo mengine mi naogopa hata kuyaongelea maana yanagusa imani binafsi za watu.
 
i see, namzoa yeye mpaka kwa pastor, mbona funguo atatoa na ndo itakua marufuku yeye kuliendesha hlo gari.
 
Umemnunulia mkeo gari, unashngaa jioni ya jumapili anarudi kwa daladala. Gari wapi, anakwambia kapanda mbengu kanisani ili apate baraka. Japo ni swala la kidini utafanyaje funguo pastor kesha kabidhiwa;
basi kabla ya kufanya hivo akushirikishe kwanza. lkn ghafla tu hapo kuna alama ya kuuliza why? wataeleza mbele ya waumini kuna nini kinaendelea kati yao wawili.
 
yaaani atarudisha mbona unapanda mbegu kwa kitu ambacho ni chako umechuma kwa jasho lako hizi imani jmn
 
Nenda kalichukue, kwani mlinunua kwa ajili ya kanisa au, michango mengine mnayotoa haitoshi, kalichukue, asikupandishe hasira.
 
utakoma ubishi,mpaka unamuoa si ulijua kuwa mkeo ni zoba? ila kwa kuwa ulikuwa na ego kuwa utamtawala kirahisi kama mwanaume kwa vile ni zoba ukamuoa!sasa kula matapishi yako!
 
hukutakiwa kuweka kwa jina la mke wako in the first place, kama unamjua ni mtu wa aina hiyo. Na kama mnachangia property (katika mkataba wa ndoa) unaruhusa ya ku fanya "opporision to the donation". Charity ina sharti za ke na kama hakuzifatilia Pasta anatakiwa akurudishie gari, hata kama imeandikwa kwa jina la mke.
 
hakuna cha pasta wala sheikh hapo,gari lazima lirudi halafu naliuzia mbali hela yote naenda kuDEMUlia kwa hasira.
 
kwakweli hapo itabidi kuongea nae na nitalihitaji hilo gari kwa gharama yoyote kama alipanda kanisani au deci hapo tutamalizana kusiko ustaarabu
 
kuna umuhimu wa kuanzisha kanisa aisee lol

utazichanga aiseee,na hawa jamaa walivyo na uwezo wa ajabu wa ku convice waumini,,ebwana duh na ck hizi imani yako inapimwa kwa kutoa...god bless
 
lol!!life iz full of fools!!!..aiseee hilo gari atalitoa tu,arrrggghhhhhh!!!
 
Mke wako hajakosea kabisa ata kidogo nani mtu wakuigwa na jamii na waumini wote chakufanya muombe Mungu apokee sadaka yenu na awape upendo na moyo wakutoa.Mungu awabariki saana .
 
Umemnunulia mkeo gari, unashngaa jioni ya jumapili anarudi kwa daladala. Gari wapi, anakwambia kapanda mbengu kanisani ili apate baraka. Japo ni swala la kidini utafanyaje funguo pastor kesha kabidhiwa;

Kama kweli alitolea sadaka kanisani kwa moyo mweupe sina cha kujadili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom