Naomba msaada.

MollyJ

Member
Sep 22, 2017
5
3
Habari wanajamii forum,
Nimepata nafasi ya kwenda kufanya usahili Tanroads next week kwa nafasi ya Shift in Charge,naomba kwa mwenye uzoefu na interviews zao anipatie hints au aina ya maswali yanayoulizwa.
Shukuruni sana
 
Hongera sana...!
Mm nilifanya moja kama hiyo Simiyu Bariadi, kwa ukweli yalikuwa maswali ua ufahamu tu, jua majukumu yake na menejiment yake inavyokuwa kwa ujumla..! Jitahidi kufahamu sheria zao mpya za barabarani za EAC kwa ujumla...!
Ila a muhimu kama huna mtu ambae anafanya hiyo halmashauri au ndani ya hicho kitengo usijisumbue maana utapoteza Nauli yako bure...! Amini ninachokuambia..ukiona vip nicheki 0689-309695.
 
Pitia Vitu Ivi Mkuu
coruption ujue definition yake,causes,effect na type zake
unapaswa ujue pia terminology zinazohusiana na weighbridge pamoja na responsibilities za shift in charge...google East Africa Axle Load control pdf,utapata izo terminology
Computer basis kama ms word,excel pamoja na kazi zao
Customer care meaning yake pamoja na characteristic za good customer care
Mwisho iandae mindset yako kwa lolote kwani sio guarantee ayo maswali kutoka ila ni muhimu kuyajua yasipotoka written yatatoka oral,sometimes wanatoa maswali ya ufahamu,uptodate issues.
 
Nashukuru sana ndugu yangu. Ubarikiwe sana
 
Hello.
Asante sana kwa kunipa mwanga,naimani nimefanya vizuri nasubiri tu uweza wa Mungu. Be blessed!
 
Hongera sana...!
Mm nilifanya moja kama hiyo Simiyu Bariadi, kwa ukweli yalikuwa maswali ua ufahamu tu, jua majukumu yake na menejiment yake inavyokuwa kwa ujumla..! Jitahidi kufahamu sheria zao mpya za barabarani za EAC kwa ujumla...!
Ila a muhimu kama huna mtu ambae anafanya hiyo halmashauri au ndani ya hicho kitengo usijisumbue maana utapoteza Nauli yako bure...! Amini ninachokuambia..ukiona vip nicheki 0689-309695.
Asante sana mkuu. Umenipa mwanga pia,nasubiria majibu naimani Mungu atatenda I have done my part,the rest namwachia yeye.
 
Back
Top Bottom