Naomba msaada yako kunitafsilia maneno haya kwa Kiswahili

ZAK ZAK

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
471
381
Nimetoa Wikipedia. The four mild Coronaviruses have a seasonal incidense occuring in the winter months in Temperate climate. There is no preference towards a particular season in Tropical climate.
 
Waakuu msaada hapo tatizo ni lugha ya malkia au au tatizo sina umaarufu. Uzi unapita tu mnanidisapointi sana jf wenzangu
 
Nimetoa Wikipedia. The four mild Coronaviruses have a seasonal incidense occuring in the winter months in Temperate climate. There is no preference towards a particular season in Tropical climate.
Wataalamu nipeni elimu usiupite tu uzi acha elimu yako tusaidie hata sisi kayumba skulli
 
Kwanin huu jf hatujai master lugha malkia. Basi nitoe mfano nchina za temperatura ni Australia,Brasiz, Uruguary, Argentina, Chile,Canada, Marekani,Japani , korea ,China,. Nchi zote ULAYA, Nchi za kusini mwa Afrika South afrika, Namibia,lessotho,Botswana,Malawi, Zambia na Nyanda za juu kusini ( RUVUMA,NJOMBE,MBEYA,RUKWA).
 
.Temperate climate ni north afrika na horn afrika kama Tunisia,morocco,algeria, ethiopia,Somalia,jibuti,eritrea.. Lakini Tropical ni nchi za afrika zilibaki. Kwa sababu nchi nyingi za afrika ni tropical
 
Eeeh! Maji mazito kuliko damu ya goma
 
Maada ni ngumu kweli huku sijui kwanini moditator kahamisha kutoka jukwaa la habari mchanganyiko kaleta jukwaa la lughaa.
 
Nimetoa Wikipedia. The four mild Coronaviruses have a seasonal incidense occuring in the winter months in Temperate climate. There is no preference towards a particular season in Tropical climate.
Korona isiyo kali, hutokea kulingana na majira. Yaani miezi ya baridi kali katika nchi zisizo za joto kali. Hakuna mwelekeo (unaoleweka wa ugonjwa) kuhusu majira ya/katika nchi za joto.
 
Hata haileti maana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom