Ndiyo bossAjira?
Nime-graduate bachelor of Philosophy with education (Philosophy and Linguistics ) SAUT Mwanza-2020
Naomba msaada wowote wa kupata C/tion , wazo , direction kuhusu ajira ; iwe ni kwenye NGO's au government
Jamiiforum ndo jukwaa letu#Asanteni
Baada ya kumkosoa Mpe njia mbadala, Kwamaana hata hicho unachodhani kuwa hakisumbui ajira hakiwez kusomwa na wote.Umemaliza 2020 inamaana chuo umeingia 2017. Hukujua kitu unaenda kusoma kitasumbua ajira ??
Haya unajua lugha yoyote mbali na kiswahili/English??
Hiyo kozi mnafanya kazi zipiNime-graduate bachelor of Philosophy with education (Philosophy and Linguistics ) SAUT Mwanza-2020
Naomba msaada wowote wa kupata C/tion , wazo , direction kuhusu ajira ; iwe ni kwenye NGO's au government
Jamiiforum ndo jukwaa letu#Asanteni
Yes, French (basic)Umemaliza 2020 inamaana chuo umeingia 2017. Hukujua kitu unaenda kusoma kitasumbua ajira ??
Haya unajua lugha yoyote mbali na kiswahili/English??
Well noted mkuuBaada ya kumkosoa Mpe njia mbadala, Kwamaana hata hicho unachodhani kuwa hakisumbui ajira hakiwez kusomwa na wote.
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
advice worker, aid worker/humanitarian workers, Charities administrator, Civil Service administrator, Consultant, Health service manager, teacher, social worker .n.kHiyo kozi mnafanya kazi zipi
Baada ya kumkosoa Mpe njia mbadara, Kwamaana hata hicho unachodhani kuwa hakisumbui ajira hakiwez kusomwa na wote.
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Yes, French (basic)
Asante saana mkuu! Nitafanya hivoWewe ingia ktk system ya UN
UN Careers
Jisajiri humu ndani halafu apply uwezavyo mpaka internship programs we apply...
Asantee mkuu! Kukitokea lolote ,mrejesho utakujaKila la kheri...
Daaaah kumbe na ualimu pia kwhyo hata serikalin mnaajiliw kam watu wa BAED, NA BED