Naomba msaada wowote wa kupata C/tion, wazo, direction kuhusu ajira

Unknown1

Member
Mar 9, 2021
57
125
Nime-graduate bachelor of Philosophy with education (Philosophy and Linguistics ) SAUT Mwanza-2020.

Naomba msaada wowote wa kupata C/tion, wazo, direction kuhusu ajira; iwe ni kwenye NGO's au government.

Jamiiforum ndo jukwaa letu#

Asanteni
 
Trendz

Senior Member
Jun 27, 2021
111
250
Nime-graduate bachelor of Philosophy with education (Philosophy and Linguistics ) SAUT Mwanza-2020

Naomba msaada wowote wa kupata C/tion , wazo , direction kuhusu ajira ; iwe ni kwenye NGO's au government

Jamiiforum ndo jukwaa letu#Asanteni

Umemaliza 2020 inamaana chuo umeingia 2017. Hukujua kitu unaenda kusoma kitasumbua ajira ??

Haya unajua lugha yoyote mbali na kiswahili/English??
 
Forecast

Member
Apr 23, 2021
10
45
Umemaliza 2020 inamaana chuo umeingia 2017. Hukujua kitu unaenda kusoma kitasumbua ajira ??

Haya unajua lugha yoyote mbali na kiswahili/English??
Baada ya kumkosoa Mpe njia mbadala, Kwamaana hata hicho unachodhani kuwa hakisumbui ajira hakiwez kusomwa na wote.

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Mugabe Jr

Senior Member
Aug 19, 2020
114
250
Nime-graduate bachelor of Philosophy with education (Philosophy and Linguistics ) SAUT Mwanza-2020

Naomba msaada wowote wa kupata C/tion , wazo , direction kuhusu ajira ; iwe ni kwenye NGO's au government

Jamiiforum ndo jukwaa letu#Asanteni
Hiyo kozi mnafanya kazi zipi
 
Trendz

Senior Member
Jun 27, 2021
111
250
Yes, French (basic)

Wewe ingia ktk system ya UN

UN Careers

Jisajiri humu ndani halafu apply uwezavyo mpaka internship programs we apply

Ila tu uwe tayari kupangwa kada yoyote chini ya UN na nchi yoyote hata zilizo na machafuko

Haina haja ya connection we omba Mungu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom