inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 491
- 413
Wanajamvi,laptop yangu nimeinstal window 10 tangu muda tu.Ila ilipojiupdate tu,ikawa inakaa kama dk 5 au 10 inajishutdown.Ndo inafanya hivyo muda wote.
Nimejaribu kutafuta solution online mfano kufanya setting kwenye power option, kuset PCI n.k Hadi nimeenda kwenye comand promt na kuandika andika kama wanavuoelekeza onlineLakini wapi. Ubaya ni kiwa nikitaka kuinstal window upya inashindikana maaana inajizimazima.
Naombeni msaada wajameni.