Naomba msaada wenzangu mme kanitapeli na kakimbia naweza kumkamata mke wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wenzangu mme kanitapeli na kakimbia naweza kumkamata mke wake?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Yasser5, Apr 18, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu wna jamvi mambo ya kisheria na taratibu zke naomba msaada
  nilikuwa namdai mtu kumbe anatumia njia za kihuni kutapeli pesa za watu sasa nimezunguka na kujua jamaa kaoa na katika kutaka kukmkamata kakimbia swali je ni haki kumkamata mke wake ili yeye aweze kurudi? Kisheria na kawaida
  naomba msaada wenu wana jamvi hili
   
 2. mka

  mka JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu, huwezi kumkamata mke wake kwa kuwa siye unamtuhumu kukutapeli. Wewe toa taarifa polisi wamtafte mmewe ambaye ni muhusika. Ukimkamata mkewe kisa mumewe kakutapeli anaweza kuja kukufungulia kesi ya 'unlawful imprisonment'. Angalia mkuu.
   
 3. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Shilingi ngapi kwanza?
   
 4. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  milion 6 na nusu mkuu
   
Loading...