Naomba msaada wenu

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,772
2,000
Ssd mkuu unaweka mwenyewe mbele ya safari, gpu na cpu ni vizuri kuangalia kwa sasa.

Mahala pa kupata ni mtaani mkuu, dukani mpya laki 6 unapata vimeo vya kutosha.

Kwa laki 6 angalau gen ya 6.

Search neno 6th gen site za classified ads kama zoomTanzania.
 
esoste

Member
Oct 3, 2021
12
45

Natafakar kwa kina boss
 
isaiah9

Member
Jun 29, 2014
48
125
Chamsingi angalia processor kama chief alivyosema. Storage na ram zinaongezwa muda wowote elikana
 
esoste

Member
Oct 3, 2021
12
45
Ssd mkuu unaweka mwenyewe mbele ya safari, gpu na cpu ni vizuri kuangalia kwa sasa.

Mahala pa kupata ni mtaani mkuu, dukani mpya laki 6 unapata vimeo vya kutosha.

Kwa laki 6 angalau gen ya 6.

Search neno 6th gen site za classified ads kama zoomTanzania.
Ni processor gan ambayo ina ubora.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,772
2,000
Ni processor gan ambayo ina ubora.
Hakuna processor moja maalum ambayo ni bora ndio maana Nimeandika gen ya 6 kwenye hio comment. Cpu yoyote ya intel gen ya 6 kupanda ni fair kwa hio budget,

List ya cpu za laptop gen ya 6 utaziona hapa
 
esoste

Member
Oct 3, 2021
12
45
Hakuna processor moja maalum ambayo ni bora ndio maana Nimeandika gen ya 6 kwenye hio comment. Cpu yoyote ya intel gen ya 6 kupanda ni fair kwa hio budget,

List ya cpu za laptop gen ya 6 utaziona hapa
Shukran boss
 
Grau

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
3,263
2,000
Ssd mkuu unaweka mwenyewe mbele ya safari, gpu na cpu ni vizuri kuangalia kwa sasa.

Mahala pa kupata ni mtaani mkuu, dukani mpya laki 6 unapata vimeo vya kutosha.

Kwa laki 6 angalau gen ya 6.

Search neno 6th gen site za classified ads kama zoomTanzania.
Nikiwa na 800000 je! Nitapata laptop nzur?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,772
2,000
Nikiwa na 800000 je! Nitapata laptop nzur?
Used ndio unapata laptop nzuri. Gen ya 8 na gpu lowend hizi za mx series.

Mfano kama hizi

Zipo nyingi cheki cheki insta, fb, kupatana, zoom etc.

Cha muhimu gen ya 8 kupanda na dedicated gpu nvidia ama radeon (Amd)
 
jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
3,542
2,000
Kwa 600k niwapi naweza pata laptop nzuri yenye ubora ikiwezekana kua na graphics card au/na SSD itakua poa Chief-Mkwawa
kama bado hujapata nkuunganishe na jama alikuwa anataka kuniuzia hii alianzia 600k tukashushana mpaka 420k sema niliilata nyinginge hp envy

Hp Probook 645 G1 14"
AMD A6 5th Generation
Processor 2.9GHz
Hdd 500Gb RAM6gb
Graphics card 3gb (728mb dedicated)
Charge 4hrs
Fingerprint scanner
 
Grau

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
3,263
2,000
Used ndio unapata laptop nzuri. Gen ya 8 na gpu lowend hizi za mx series.

Mfano kama hizi

Zipo nyingi cheki cheki insta, fb, kupatana, zoom etc.

Cha muhimu gen ya 8 kupanda na dedicated gpu nvidia ama radeon (Amd)
Sitapigwa huko?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,772
2,000
Sitapigwa huko?
Kama unajua kuangalia specs si rahisi kupigwa, laptop si kama simu.

Cha muhimu wewe ni kuangalia tu hali ya hio laptop, mfano ukaaji chaji, kama button zinafanya kazi, uzuri wa kioo etc.

Pia wengi wenye hayo matangazo wana ofisi, chukua namba ulizia ofisi ilipo, usitumie hela mtandaoni, nenda mwenyewe dukani kajiridhishe ndio ununue.
 
esoste

Member
Oct 3, 2021
12
45
kama bado hujapata nkuunganishe na jama alikuwa anataka kuniuzia hii alianzia 600k tukashushana mpaka 420k sema niliilata nyinginge hp envy

Hp Probook 645 G1 14"
AMD A6 5th Generation
Processor 2.9GHz
Hdd 500Gb RAM6gb
Graphics card 3gb (728mb dedicated)
Charge 4hrs
Fingerprint scanner
Ni mpya?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom