Naomba msaada wenu

Lio tz

Member
Apr 16, 2018
71
26
Mimi ni kijana niliehitimu masomo yangu ya kidato cha nne mwaka 2016 namshukuru mungu nilifaulu nilipata div II ya points 21,nilifanikiwa kupangiwa PCM shule ya lugufu mkoani kigoma lakini wazazi wangu walishindwa kunipeleka shule kutokana hali duni kwa sasa nipo nyumbani tu sijui cha kufanya maana tulijaribu kutafuta wafadhili walau nisomeshwe ikashindikana nilikua na mpango wa kujitolea jkt mwaka huu lakini sijui post zitatoka lini naombeni
Ushauri wenu nini nifanye au mwenye kuweza nisaidia anisaidie
Ufaulu wangu nikama ifuatavyo
Civics-c
History-c
Geography-c
Kiswahili-c
English-c
Physics-c
Chemistry-c
Biology-c
Mathematics-d
 
mzee naona makarai mengi(c).. Njoo tufungue kiwanda cha kutengeneza makarai na mabeseni katika Tanzania ya viwanda ..:p:p:p
 
Mimi ni kijana niliehitimu masomo yangu ya kidato cha nne mwaka 2016 namshukuru mungu nilifaulu nilipata div II ya points 21,nilifanikiwa kupangiwa PCM shule ya lugufu mkoani kigoma lakini wazazi wangu walishindwa kunipeleka shule kutokana hali duni kwa sasa nipo nyumbani tu sijui cha kufanya maana tulijaribu kutafuta wafadhili walau nisomeshwe ikashindikana nilikua na mpango wa kujitolea jkt mwaka huu lakini sijui post zitatoka lini naombeni
Ushauri wenu nini nifanye au mwenye kuweza nisaidia anisaidie
Ufaulu wangu nikama ifuatavyo
Civics-c
History-c
Geography-c
Kiswahili-c
English-c
Physics-c
Chemistry-c
Biology-c
Mathematics-d
Jaribu kuomba vyuo vya serikalini kwa kozi za afya utapata tu
 
Panda gari nenda shuleni hakuna wa kukurudisha nyumbani, Daftar tuu na pen vinatosha mambo mengine utayakuta huko wala usiwaze, hata kama hauna viatu we nenda tuu viatu utavipata hukohuko, mm nakuhakikishia unachohitaji hapo ni daftar na na peni tuu na nauli ya kukufikisha hapo shuleni kigoma.
 
Back
Top Bottom