Naomba msaada wenu wa haraka kuhusu NMB App

Nestory Westone

Senior Member
May 13, 2015
129
225
Kama hujafanikiwa weka namba yako ya simu nikupigie nikueleze namna ya kuona hio namba ya akaunti yako.
Nilidownload app ya Nmb mobile account na nikafungua account bila kwenda bank, pesa nikawa naweka kama kawaida. Yaani nilikuwa nafanya kuhamisha hela zilizoko mpesa naweka nmb mobile account. Sasa leo asubuhi nikapita kwa wakala wa nmb ili nitoe tsh 200,000. Nimefanya huo muamala lakini maajabu pesa imetoka lakini sijapokea sms yoyote na wakala nae hajapata sms yoyote pia pesa nayo haijafika.

Nimejaribu kuwasiliana na nmb huduma kwa wateja kupitia njia ya simu nikawapa maelekezo yote, waliponichosha ni pale waliponiuliza number ya account.

Kiukweli mimi number ya account sina... Na sijui hiyo number ya account naipataje. Pia wakati najiunga na hiyo app hiyo number ya account sikupewa, nilikuwa natumia number ya simu kuingia.

NISAIDIENI PLEASE...
 
Msukuma Original

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
928
1,000
Alafu eti Lidoctor...Doctor gani JINGA NAMNA HII...Yaani jitu zima linaangalia vitu visivyo namaana.....Kuna vitu Sio material..unapotezea.
Huyu akiwa boss...atakomaa na wewe hujaweka koma...kwenye sentensi wakati ulivyopresent Ni nondo..

HUKO SHULE HUA MNASOMAGA NINI?
Lina udoctor gani hilo jinga? Unalijua in person hadi ulipe cheo cha udoctor? Hili jamaa ni zaidi ya lipumbavu ila linajifanyaga linajua kila kitu.
 
CORAL

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
2,755
2,000
Mkuu nakushauri kitu kimoja nenda tawi la nmb lililo karibu nawe wakuthibitishie Kama hio app ni yao au ni scammer wakisema yao Basi pesa yako iko salama maana utakuwa na authority ya kuwashtaki Ila Kama sio yao imekula kwako
Nakubaliana na huu ushauri kwa sababu nashindwa kuelewa ni kwa vipi mtu utumie huduma zozote za NMB mobile bila kuwa na account namba. Hii kitu haiwezekani kabisa. Huwezi kufungua account NMB bila kuonana na wahusika ana kwa ana. Mfano utahitaji kuwapa copy ya kitambulisho chako na mengine. Pia lazima upewe ATM card hata kama hukusudii kutumia kadi kutoa /kuweka hela maana ndio uthibitisho pekee wa kumiliki akaunti NMB. Bila kupitia hatua za kufungua akaunti huwezi kutumia huduma yoyote ya NMB. Hiyo ni sawa na kujaribu kutumia huduma za Mpesa au Tigopesa bila kuwa na namba ya simu ya mtandao husika. Nahisi umepigwa na matapeli.
 
Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
7,499
2,000
Nilidownload app ya Nmb mobile account na nikafungua account bila kwenda bank, pesa nikawa naweka kama kawaida. Yaani nilikuwa nafanya kuhamisha hela zilizoko mpesa naweka nmb mobile account. Sasa leo asubuhi nikapita kwa wakala wa nmb ili nitoe tsh 200,000. Nimefanya huo muamala lakini maajabu pesa imetoka lakini sijapokea sms yoyote na wakala nae hajapata sms yoyote pia pesa nayo haijafika.

Nimejaribu kuwasiliana na nmb huduma kwa wateja kupitia njia ya simu nikawapa maelekezo yote, waliponichosha ni pale waliponiuliza number ya account.

Kiukweli mimi number ya account sina... Na sijui hiyo number ya account naipataje. Pia wakati najiunga na hiyo app hiyo number ya account sikupewa, nilikuwa natumia number ya simu kuingia.

NISAIDIENI PLEASE...
NMB App inaonesha kila kitu.

Hapo nimefuta ni akaunti namba na aina ya akaunti

Weka screenshot ya app yako hapa tafadhali

Pia unaweza wapigia 0800002002 bure kabisa .
IMG_20201212_124725.jpg
 
Nestory Westone

Senior Member
May 13, 2015
129
225
Inawezekana hata mimi nilifungua akaunti naweka na kutoa pesa kwenye akaunti ambayo nilifungua mwenyewe.
Pia naweza kumwelekeza namna ya kuona namba ya akaunti.
Nakubaliana na huu ushauri kwa sababu nashindwa kuelewa ni kwa vipi mtu utumie huduma zozote za NMB mobile bila kuwa na account namba. Hii kitu haiwezekani kabisa. Huwezi kufungua account NMB bila kuonana na wahusika ana kwa ana. Mfano utahitaji kuwapa copy ya kitambulisho chako na mengine. Pia lazima upewe ATM card hata kama hukusudii kutumia kadi kutoa /kuweka hela maana ndio uthibitisho pekee wa kumiliki akaunti NMB. Bila kupitia hatua za kufungua akaunti huwezi kutumia huduma yoyote ya NMB. Hiyo ni sawa na kujaribu kutumia huduma za Mpesa au Tigopesa bila kuwa na namba ya simu ya mtandao husika. Nahisi umepigwa na matapeli.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,383
2,000
Unaweza kufungua account kwa kutumia app ya benki? Sijawahi kusikia hili jambo. Account ya benki siyo lazima uende benki na vitambulisho upewe na account number? Kuna uwezekano jamaa fedha zake zimepigwa na matapeli
Inawezekana kama una kitambulisho cha taifa kama huna inabidi ufike kumalizia usajili wako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom