Naomba msaada wenu ; Simu inaandika maneno haya kwa rangi nyekundu "Custom Binary Bloked by FRP Lock" yana maana gani?!

Wiwachu

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
809
923
Samahan kwa usumbufu wakuu naomba kujuzwa maana ya maneno haya rangi nyekundu yanayosomeka "Custom Binary bloked by FRP Lock" hii ni simu ya Samsung j7 neo ambayo kuna mtu anataka kuinunua sasa kaja anataka nimsaidie kuiangalia kama inafaa anunue ila baada ya kuweika chaji inaonyesha kwa kipo pup juu ya screen maneno haya yakiwa na rangi nyekundu huku inaingiza chaji ila cha ajabu naiwasha haitaki kuwaka wakat iko kweny chaji na inaingiza inaishia kuandika Samsung galaxy J7 Neo tu ila haimaliziki hivi inaweza kuwa na tatizo gani hasa wakuu naombeni msaada wenu nimuambiaje huyo mtu anaetaka kununua!? Asanteni sana karibuni. Kwa michango yenu
20200322_212048.jpeg
20200322_210452.jpeg
 
Samahan kwa usumbufu wakuu naomba kujuzwa maana ya maneno haya rangi nyekundu yanayosomeka "Custom Binary bloked by FRP Lock" hii ni simu ya Samsung j7 neo ambayo kuna mtu anataka kuinunua sasa kaja anataka nimsaidie kuiangalia kama inafaa anunue ila baada ya kuweika chaji inaonyesha kwa kipo pup juu ya screen maneno haya yakiwa na rangi nyekundu huku inaingiza chaji ila cha ajabu naiwasha haitaki kuwaka wakat iko kweny chaji na inaingiza inaishia kuandika Samsung galaxy J7 Neo tu ila haimaliziki hivi inaweza kuwa na tatizo gani hasa wakuu naombeni msaada wenu nimuambiaje huyo mtu anaetaka kununua!? Asanteni sana karibuni. Kwa michango yenu View attachment 1396300View attachment 1396301

Pasina kutilia mashaka hilo ni Tatizo la kisoftiwea { Software problem }
Na huwa inatOkea
Zipo njia kazaa za kutatua Tatizo hilo.
Unaweza ukaifikisha kwa wataalamu wa Software za simu nawatakutatulia Tatizo lako >Maana Tatizo lako linatatulika kwa 100% √.

Kwa msaada zaidi Tucheki
+255 675 803 318 WhatsApp
Tutakusaidia hatua za kufuata ili kutatua tatizo lako

Technical Expert
Geniuz / Omar

Au Tucheki +255 675 803 318
Kwa msaada zaidi wa kiufundi
 
Back
Top Bottom