Naomba Msaada wana JF...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
Bandugu,

Kwa yeyote anaemfahamu Mtanzania aliyeko Nairobi sasa (au anatarajia kuwa huko hivi karibuni) na atakuwa (au anaweza kuwa) huko at least for the next three months na ni graduate -au ata-graduate hivi karibuni especially kwenye Finance/Business/Management- naomba ani-PM.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom