Naomba msaada wakala gani nimuagize gari kutoka Japan

Watu wengi wamezoea kununua magari kwa dealers ila kama mngefungua macho kuanza nunua direct kwenye auction ndio mngeona hao dealer wanavyowapiga pia gar kwenye action inakuwa na taarifa zote na huku Japan hao dealer wote hununua kwenye auction, pia msijiaminishe kuwa fraud hazipo nashauri mnapotaka kununua ask for auction sheet ili ujua condition ya gari maana wengi hununua had R grade bila kujua
Tafadhari nisaidie namna ya kufanya mkuu.
 
Ili uweze kuingia kwenye bid hapa Japan ni lazima uwe na licence sasa kuna makampuni mengi ambayo hufanya kazi ya kusimamia bid kwa watu mbalimbali hivyo wana website kama walivyo hao dealers na kuna picha na auction sheet za magari na bei ya kuanzia hivyo wewe unachotakiwa utaselect a car na utaweka kiasi ulichonacho, possibility ya kupata ni kubwa kwani gari moja huwa halinadishwi kwa zaidi ya dakika moja kwani kwenye mnada huwa kuna gari nyingi zaidi ya 30000

Nashukuru kwa maelekezo mazuli mkuu.
Unaweza nisaidia hizo website zao?
 
Hebu jaribu kutafuta kupitia google search
Screenshot_20190923-193439.jpeg
 
Kama una cash money nenda yard kachague unalotaka. Hii mambo ya kuagiza ni ya kizamani sana. Kama upo hapo dsm kuna yard kibao tu tembelea hutakosa.

Kama vp mcheck RRONDO anaweza kukusaidia
 
STB hawajawahi kuniangusha jana nimeagiza Mazda Rx 8 kwa dolla 2000 tu jumla (CIF)..hii gari mpk niichukue bandarini haitazidi Millioni 15 lakini i hope nikiwa nayo road watu watahisi ni ya M 60 though ni manual lakini ni kagari chenye muonekano wa sportscar kama Ferrari,au hata Bentley
Ina spidi poa sana na ni ya kibrazazamen, ila ujue miiko yake ya namna kuitunza ili u-enjoy maana nadhani unajua ile inatumia rotary engine.
 
Back
Top Bottom