Naomba Msaada wa tiba ya asili ya kansa

Sir

Member
Aug 4, 2009
12
0
Nina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hospital.
 
Mkuu,ungetoa ufafanuzi ni kansa ya nini ili atakaye kuwa anaelewa tiba take aweze kukupatia maelezo sahihi ya ugonjwa usika.
 
jaribu kupiga na. hii ya simu uzungumze na huyo mganga huenda akakusaidia 0655 345373
 
Mkuu,ungetoa ufafanuzi ni kansa ya nini ili atakaye kuwa anaelewa tiba take aweze kukupatia maelezo sahihi ya ugonjwa usika.

Jamani mimi uncle wangu anasumbuliwa na kansa ya koo, tatizo hata dawa anazopewa hawezi kumeza, je kuna dawa anazoweza tumia kwa njia nyingine, si kumeza?
 
Nina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hospital.
Dawa za saratani au kansa wengi wanakosea hapa au ni wabishi kufuata masharti ya chakula.
1. Mgonjwa anatakiwa kuacha vyakula vya wanga.
2. Anatakiwa kuacha sukari
3. Anatakiwa kuacha vyakula vya protini za wanyama kama nyama. Maziwa. Samaki. Dagaa.

Anatakiwa atumia zaidi vyakula vya mimeaikiwepo 90% raw food.
Pia anatakiwa asile matunda na mboga kwa wakati mmoja. Hiyo kitu pia imeandikwa kwenye vitabu vifuatavyo, Back to eden (turejee eden). Medical ministry. Master book of American natutal remedies.

Unatakiwa ule mboga za majani kqwnye mlo wa kwanza na unaofuatia baadaye ule matunda.
Kingine mbadala wa wanga ni mbegu za maboga. Almond. Walnuts. Macademia etc
Hii kitu inafanga kazi. Ila ukienda kinyumbe cha hapo tunakusahau, mwendo utaumaliza mapema. Lazima niwe mkweli.

IMG_20220408_203114_691.jpg
 
Jamani mimi uncle wangu anasumbuliwa na kansa ya koo, tatizo hata dawa anazopewa hawezi kumeza, je kuna dawa anazoweza tumia kwa njia nyingine, si kumeza?
Kama uko seriously njoo dm,kansa inapona na nitakuunganisha na doctor wa bf suma atakuudumia.
 
Nina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hospital.
Njoo dm,pole sana nitakuunganisha na Doctor tiba ipo utamwelezea jinsi mgonjwa anavyo umwa na uhakika atapona na Mungu atamsaidia
 
Nina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hospital.
Miaka takribani 12 sasa tunaomba mrejesho wa dawa ulizotumia na Hali ya mgonjwa
 
Nina imani kuna tiba mbadala ya kansa ambazo mgonjwa anaweza kupata nafuu au kupona kabisa, naomba mwana jamii yeyote anayejua au mwenye ushuhuda anielekeze, pamoja na hizo bado tunaendelea kutumia tiba ya hosp
0788 251 429 hebu mpigie huyo Sina undugu naye wala sina faida nitakayopata ila hebu jaribu kwani mimi nimetumia dawa zake zimenisaidia na familia yangu.Hata kama sio wewe itawasaidia na wengine wenye matatizo katika familia zao au wao wenyewe
 
Jamani mimi uncle wangu anasumbuliwa na kansa ya koo, tatizo hata dawa anazopewa hawezi kumeza, je kuna dawa anazoweza tumia kwa njia nyingine, si kumeza?
Dawa ya asili ya saratani maji [liquid ipo bei yake ni sh. 25,000/= kwa lita moja, na matumizi ni [unatumia lita 4 kwa mwezi] na kwa ujumla unatakiwa utumie dawa kwa miezi 6 au 8, kulingana na stage ya saratani au kansa uliyonayo, pia unatakiwa ufuate masharti ya vyakula.
Ni saratani aina zote kama utumbo, tumbo, koo, kizazi, tezi dume, ngozi, macho, mapafu, na nyinginezo, whatsapp 0658440707 au 0716291773. Kama ukichanganya na dawa za hospitali ondoa side effect za dawa hizo kwa kutumia vitu vifuatavyo.

CHEMOTHERAPY NA TIBA YA MIONZI -POISON

DALILI – Kukosa hamu ya kula, kutapika, kuharisha, upungufu wa damu, kukatika kwa nywele, wasiwasi, kukosa usingizi, maumivu, uchovu, vidonda vya mdomoni, maambukizi ya chachu, mfadhaiko.

CAUSES- Zilizo hapo juu ni baadhi ya dalili za matibabu ya sasa ya saratani, kwa kutumia chemotherapy na/au tiba ya mionzi. Wagonjwa wengi wa saratani, wanaopokea matibabu haya, huwa wagonjwa sana.

Hapa kuna mambo kadhaa ambayo yanaweza kupunguza dalili hizo:

DAWA ZA ASILI
·Maitake ni uyoga wa Kijapani ambao una beta-glucan. Ina uwezo wa kupunguza sana kichefuchefu, kuongeza hamu ya kula na nishati, na kuimarisha mfumo wa kinga wa seli nyeupe za damu. Kuchukua matone 2-3 kwa siku ya dondoo.

·Chukua tangawizi ili kupunguza hisia za kichefuchefu za tumbo zinazotaka kutapika.

· Glutamine (miligramu 5,000-15,000 kila siku) ni asidi ya amino ambayo husaidia kulinda utando wa njia yako ya utumbo dhidi ya madhara ya chemotherapy na mionzi.

· Madaktari wanafundishwa kuwa vitamini na madini ya antioxidant hupunguza nguvu ya kuua saratani ya chemo na mionzi. Lakini, kwa kweli, kwa kuchukua vitamini na madini hayo, kupona kuna uwezekano mkubwa wa kutokea. Tazama Antioxi-dants(104).

·Ginseng ya Siberia (200 mg, mara 3-6, kila siku) husaidia kuzuia uchovu unaoletwa na kemo na mionzi. Ichukue pamoja na astragalus (1,500 mg kila siku). Hakikisha kuwa Siberianginseng imesawazishwa kwa eleutherosides, kiungo kikuu amilifu.
·Chai ya kijani hupunguza kichefuchefu. kunywa vikombe kadhaa kila siku (au kuchukua 500 mg ya mimea).

·Umeboshi ni dawa nzuri ya kichefuchefu na kutapika kutoka kwa chemo na mionzi. Umeboshi ni chai ya Kijapani ambayo ina chumvi, tangawizi na mzizi wa mmea wa kudzu
 
Back
Top Bottom