Naomba msaada wa tekinolojia

buhanda

Member
Jul 4, 2016
77
30
Ndg wana jf naomba kusaidiwa
Nina laptop aina ya HP min probook 4331s wakati nainunua ilikuwa na hard disk (HD) 640 nikabadili window 7 na kuweka window 8 .sasa cha ajabu imepungua HD ni 121+474= 595 ( yaan total ya partition C na D ) naomba msaada ili niweze kuiongeza ukubwa wake n je hiyo nafasi ipo kwenye partition au sehemu gani?
 
mkuu window 8 haiwez kula space zote hizo.
Window ukubwa wake ni Gb 4.5 hv, haizid hapo hata km window 8.1,
window 7 inachezea kweny Gb 3 hiv, window 10 inachezea 2 hiv.
Pc yako inatatizo, ningekuwa karibu ningeicheki. Lkn mm nipo mwanza
 
Itakuwa haujafanya clean installation, kwahyo ile windows 7 bado ipo ndo maana storage imelika hivyo.
 
Nenda my computer nenda kwenye hiyo partition uliyo install windows 8 then right click nenda properties tafuta Disk Cleanup, then clean hyo windows 7
 
mkuu window 8 haiwez kula space zote hizo.
Window ukubwa wake ni Gb 4.5 hv, haizid hapo hata km window 8.1,
window 7 inachezea kweny Gb 3 hiv, window 10 inachezea 2 hiv.
Pc yako inatatizo, ningekuwa karibu ningeicheki. Lkn mm nipo mwanza
Nashukuru ndg
Kipi naweza fanya naomba msaada zaidi
 
Nifanye nn mkuu ?
Na km ingekupo si ingekuwa inanipa option wakat naiwasha window ipi niitumie?
Acha kuwa mbishi sikiliza unachoambiwa kama ingekuwa unafahamu c ungekaa huko huko na ujuz wako
 
Nenda my computer nenda kwenye hiyo partition uliyo install windows 8 then right click nenda properties tafuta Disk Cleanup, then clean hyo windows 7
Samahani mkuu nmeshaingia my computer n inaleta
Kwa juu general, tools, hardware, security n quota
Then space used n free space
Then diagram showing used n free space Julia kwake kukiwa n disk clean up
 
kama imepungua total storage (na sio free storage) inamaana kuna partition ya tatu ambayo wewe huioni. hio partition huwekwa na windows kuanzia 8 mpaka 10 inaitwa recovery partition. hapo oem wako kama hp, dell, lenovo etc weanaeka mafile muhimu incase jambo baya likitokea hio recovery itakusaidia kuokoa pc. mfano windows imecorupt recovery itareplace corupt files.

unaweza tumia software yoyote ya partition kufuta hio recovery na kurudisha gb zako kama unataka
 
Ahsante mkuu nmekusoma
Je unaweza kunisaidia hiyo software?
 
mbona tena swaga za kike mustapha? eboo kweli kidume na midevu yako unadhubutu kusema mkeo/mademu zako wasemeje tena
Basi tuwe serious mtu akiwa anaomba msaada asaidiwe kwanza
Sio kumpiga picha mukaweke fb au insta
 
Back
Top Bottom