Naomba msaada wa tatizo la mwili kupigwa shoti

Habari wakuu, nimekua na tatizo la kupigwa shoti mwilini hasa nishikapo materials tofauti(kasoro plastic) bt aluminium,chuma bt hata vitasa vya gari au gari yenyewe, hali hii hunitokea mara moja kwa muda husika, ila nikishika tena sipatwi na tatizo hilo, cha ajabu ikipita masaa kadhaa nikajisahau nikaegemea kitu kimoja wapo napigwa tena,sasa imekua shida...
Jaribu kubadili aina ya viatu unavyopendelea sana kuvaa
 
Nilifanya kazi na mzee m1 amestaafu sasa hv alikua hvyo na yeye alikua anapiga shoti bila hata kugusa chochote,inamtokea tu,alikua kama kajenereta hivi.na hakuwahi kufatilia kwa Doctor wala nini mpaka akaondoka pale,so wewe mtoa mada Mr kajenereta hebu chek na wauguzi wakusaidie
 
Nitajaribu ushauri huu maana hata mimi tatizo hilo ninalo na huwa napenda sana kuvaa viatu
Tumia Retrovil(kidonge kimoja usiku)Folic acid 5mg(kidonge kimoja)na Carbamazepin 200mg vidonge 2 kwa siku.. Hiyo ni Neirone problem. Ukienda Hospital utapewa dawa hizo.

Ila utafanya kipimo cha MRI NA CT SCAN KUJUA UKUBWA WA TATIZO. ASANTE.
 
Tumia Retrovil(kidonge kimoja usiku)Folic acid 5mg(kidonge kimoja)na Carbamazepin 200mg vidonge 2 kwa siku.. Hiyo ni Neirone problem. Ukienda Hospital utapewa dawa hizo. Ila utafanya kipimo cha MRI NA CT SCAN KUJUA UKUBWA WA TATIZO. ASANTE.
Madhara yake dawa zitakuchosha na kukupa usingizi mzito kwa muda usiopungua wiki 2.
 
Dah! kuna kitu kinaitwa umeme mgando (static charges) ambao husababishwa na msuguano wa molekyuli...nadhani utafiti unahitajika .
 
Back
Top Bottom