Naomba msaada wa tatizo la mdomo kuwa na ladha ya uchungu

Mumbe ladha, nilizan ule uchungu wa kujifungua.

The good, the bad and the ugly.
 
jaribu kunywa maji mengi sana uenda ukakaa sawa kama si mnywaji wa maji mimi hii hari ikitokea, solution nakunywa maji sana
 
Mkuu hiyo shida bila shaka una sumbuliwa na tatizo katika njia ya mfumo wa chakula.
Nakushauri uonane na mtaalamu aliye bobea/physician utapata ufumbuzi huenda nyongo inazalishwa kupita kiasi.
 
Mkuu hiyo shida bila shaka una sumbuliwa na tatizo katika njia ya mfumo wa chakula.
Nakushauri uonane na mtaalamu aliye bobea/physician utapata ufumbuzi huenda nyongo inazalishwa kupita kiasi.
Kwenye nyongo asee nikweli kabisa niliambiwa hivho sasa shida ni dawa ya kuitoa hiyo nyongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom