Mkuu nishamaliza kila dawa ila hali haina mabadiliko yoyote kiupande wangu
Nashkr kakaMkuu hiyo shida bila shaka una sumbuliwa na tatizo katika njia ya mfumo wa chakula.
Nakushauri uonane na mtaalamu aliye bobea/physician utapata ufumbuzi huenda nyongo inazalishwa kupita kiasi.
Mkuu hiyo shida bila shaka una sumbuliwa na tatizo katika njia ya mfumo wa chakula.
Nakushauri uonane na mtaalamu aliye bobea/physician utapata ufumbuzi huenda nyongo inazalishwa kupita kiasi.
Kwenye nyongo asee nikweli kabisa niliambiwa hivho sasa shida ni dawa ya kuitoa hiyo nyongoMkuu hiyo shida bila shaka una sumbuliwa na tatizo katika njia ya mfumo wa chakula.
Nakushauri uonane na mtaalamu aliye bobea/physician utapata ufumbuzi huenda nyongo inazalishwa kupita kiasi.
Kwenye nyongo asee nikweli kabisa niliambiwa hivho sasa shida ni dawa ya kuitoa hiyo nyongo
Sent using Jamii Forums mobile app