Naomba msaada wa tatizo hili la PC

Jiwe kuu001

Member
Dec 25, 2020
48
95
Wakubwa Natumai Mu wazima wa afya.
Niende kwenye Mada moja kwa moja
Wakuu laptop yangu Hp elitebook 2760p
RAM 4GB
HDD 500GB
Window 10pro
nikiiwasha inaniletea maelezo hayo msaada tafadhali

20211003_210731.jpg
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,494
2,000
Hapo pc ni nzima ila windows ina matatizo. Hukugusa chochote kabla tatizo kutokea?

Njia ya haraka ni kutafuta windows weka kwa njia ya ku update (usifute kitu) itarudi bila kupoteza data.

Njia nyengine ni kufanya trial and error Ingia hapo troubleshoot Jaribu kuboot na safe mode uone itakubali? Angalia pia njia mbalimbali za kutroubleshoot.
 
Asante mkuu nitaleta mrejesho
 
nnauje

Member
Jul 3, 2018
15
45
Hii PC yako inaonesha unatumia bila betri na Hali hii inatokea mara umeme unapokata na ikajizima yenyewe wewe kuwa mvumilivu tu fuata maelekezo mpka mwisho sema inachelewa sana usikate tamaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom