Naomba msaada wa namna ya kukabiliana na usaili wa ajira

faru john junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
1,596
1,717
Wadau wa JF,

Niwasalimu. Amani ya Mungu iwe nanyi.

Moja kwa moja Kwenye mada. Nimebahatika kuitwa Kwenye usaili kupitia Secretariate ya Utumishi wa Umma pale DUCE. Post ni Customs Officer.

Kimsingi walioitwa ni watu wa fani mbalimbali kama Law, Uhasibu, Uchumi, Taxation, Customs.

Kwa wale wajuvi wa maswala ya usaili wenye mchanganyiko wa kada kama hizi mnisaidie maeneo ya kusoma maana nina imani hawataweza kuleta maswali ya darasani kutokana na tofauti za kitaaluma.

Naomba kuishia hapo. Mchango wenu muhimu sana.
 
Mara nyingi huwa wanatoa aptitude test ambayo inapima uelewa wa jumla wa masuala mbalimbali...ni maswali ya kiufahamu tu ambayo unakabiliana nayo hapo hapo....usishangae kukutana na maswali yanayohusu covid-19, uraia, n.k
 
Back
Top Bottom